FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Screenshot_20241219-183826_WhatsAppBusiness.jpg
 
Umeshaanza kuropoka na mechi bado zipo kibao,,unaanza kujifichia kwenye kichaka cha clean sheet🚮🚮
Nyuma kwenu kunavuja saaana ndo maana magoli hayaachi kuingia. Nadhani ule mwiko uliokuwa unaingizwa na kutolewa na wanyamwezi, wala ice cream na wale waarabu umeacha uwazi saana. Samahani lakini.....
 
tumecheza na mashujaaa jomba, gazeti la nini?
Ni lini umeshaona makosa ya Boka labda au mashujaa wewe unawachukuliaje labda?
Mpira sio bolingo wewe dogo uwe na adabu Boka ni mchezaji mwenye kila kitu wewe ujue mpira kwanza..
 
Mpumelelo kufunga hattrick niliona dalili za matatizo yake kwenda kuhamia kwa mwingine.

Ila sikujua kama itakuwa ni kwa kipa.
Ule uchawi aliotupiwa Mpumelelo umeisha.
 
Nyuma kwenu kunavuja saaana ndo maana magoli hayaachi kuingia. Nadhani ule mwiko uliokuwa unaingizwa na kutolewa na wanyamwezi, wala ice cream na wale waarabu umeacha uwazi saana. Samahani lakini.....
Kunavuja but patazibika ndio kwanza dube keshaanza kuwafunga midomo,,uyo kipa khomein atapigwa msasa alikuwa na siku mbaya kazini leo
 
Back
Top Bottom