Mkuu bila shaka utawasaidia Jkt kulala na mabuti leo. ππDuuuuuuh!!!!
Kupingana na ukweli sawa na kubisha kuwa haupo hai π€£π€£π€£Kupingana na ukweli ni kujitafutia maradhi ya moyo mkuu.
Goli la Azizi unaombea MKOPO.
Khamsa kama kawaida ni swala la muda tu.
Kabisa mkuu, jamaa kwa Sasa wamekolea aisee, hata kutinga makundi ya Cacl na kufanya vizuri inawezekana kabisa kwa moto huu.Sema tukiweka utani pembeni, jinsi Yanga wanavyoshinda mechi zao kwa goli nyingi inawejengea confidence kubwa.
π π π π π π ni Swala la Muda tu.
Wanazingua kinyamaMkuu bila shaka utawasaidia Jkt kulala na mabuti leo. ππ
HaKuna mechi itakayokuwa rahisi kama mechi yetu na Makoloπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ.Tunapiga mtu 7πDah mi kiukweli mechi ngumu Kwa Yanga msimu huu itakua ya Simba Tu hizo zingine ni mateso Tu Kwa wapinzani [emoji38]
Mnara unasoma 4G huko!!Kuna kelele
Labda kapata maelezo kutoka juu kuwa Bocco ndiyo Mega striker.Sisi Robertinho kila siku yupo bize na Bocco