Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bila shaka utawasaidia Jkt kulala na mabuti leo. 😂😂Duuuuuuh!!!!
Kupingana na ukweli sawa na kubisha kuwa haupo hai 🤣🤣🤣Kupingana na ukweli ni kujitafutia maradhi ya moyo mkuu.
Goli la Azizi unaombea MKOPO.
Khamsa kama kawaida ni swala la muda tu.
Kabisa mkuu, jamaa kwa Sasa wamekolea aisee, hata kutinga makundi ya Cacl na kufanya vizuri inawezekana kabisa kwa moto huu.Sema tukiweka utani pembeni, jinsi Yanga wanavyoshinda mechi zao kwa goli nyingi inawejengea confidence kubwa.
Wanazingua kinyamaMkuu bila shaka utawasaidia Jkt kulala na mabuti leo. 😂😂
HaKuna mechi itakayokuwa rahisi kama mechi yetu na Makolo🤸🤸🤸🤸.Tunapiga mtu 7😂Dah mi kiukweli mechi ngumu Kwa Yanga msimu huu itakua ya Simba Tu hizo zingine ni mateso Tu Kwa wapinzani [emoji38]
Mnara unasoma 4G huko!!Kuna kelele
Labda kapata maelezo kutoka juu kuwa Bocco ndiyo Mega striker.Sisi Robertinho kila siku yupo bize na Bocco