Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nani yupo karibu na huyu Scars wewe Kalpana Carasco Putin hebu toeni uangalizi maalumu kwa huyu shabiki mwenzenu. Anayopitia ni ngumu kueleza.
Beki linalotegemewa na taifa stars linaanzia benchi, imagine.Pacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.
Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hii ndo mechi ya mwisho kushinda 5..andikeni kwny dairy kabisaaaaNani yupo karibu na huyu Scars wewe Kalpana Carasco Putin hebu toeni uangalizi maalumu kwa huyu shabiki mwenzenu. Anayopitia ni ngumu kueleza.
Kama zifuatazo tutashinda sio mbaya, hizo tano huwa ni burudani tu.Hii ndo mechi ya mwisho kushinda 5..andikeni kwny dairy kabisaaaa
Sawa ....kila la heriKama zifuatazo tutashinda sio mbaya, hizo tano huwa ni burudani tu.
Utahamia TIMU nying sana msimu huuLigi kuu hamna shida, wala hatushangai,
Twenzetu na Al-Merrikh [emoji1787]
Kweli we ni Mchochezi [emoji847]Nireteeeni Max
Nireteeeeni Maxiiiiiii
Nireteeeeeeniiiii Maxiiiiiiiiiiiiiiiii
El Merrikh wanacheza na miguu minne?Ligi kuu hamna shida, wala hatushangai,
Twenzetu na Al-Merrikh [emoji1787]
[emoji6][emoji142]Inabidi tumtafutie Max lishangazi la Magomeni au Tabata ili apungue kasi hii sasa sifa
[emoji1666]Max ni mfia timu kama Ngolo Kante yaani yupo kila sehemu na anacheza kwa passion kubwaβ¦Class
[emoji2958][emoji851]Yanga wanabebwa......
Yanga wananunua mechi.....
Yanga wanakutana na timu dhaifu....
Yanga wanabahatisha......
Yanga hawatafika mbali kimataifa....
Ndio chorus pekee tuliyobaki nayo Simba kwa sasa.
Bongo kuna wachambua MCHELE,mbona ndo usajili ulio sifiwa sana na wachambuzi
[emoji1]Yanga ipelkwe tu EPL ikashindane na Manchester City maana ndio level moja
[emoji38]kinacho nifurahisha hadi wanasimba wanafurahia pira gamond
hawana miezi 2 lazima wamtimue kocha
Wazee wa kubeti mnakwama wapi kumtumia huyu Nabii?Basi Max Malipo anavyopenda sifa nae atafunga
[emoji16]Kila Nikikumbuka Kuna Wachambuzi Walisema Azizi Ki tulipigwa napoteza fahamu
Acha kabisa Swahiba.Umeona swahiba,pira burudani yan unaangalia hadi utaki uishe aisee
Kwa hali hii Mtani mpaka ligi inaisha utakuwa umechoka sana yaani. π πNyie si mnajiita wakihistoria?
Leo imekuwaje uanze kukataa ya nyuma?