FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Pacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.

Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Beki linalotegemewa na taifa stars linaanzia benchi, imagine.
 
Huyu ni PRO MAX NZENGERI ametisha
Screenshot_20230829-213145.jpg
 
mbona ndo usajili ulio sifiwa sana na wachambuzi
Bongo kuna wachambua MCHELE,
Simba ina shida ya kiungo mnyumbulifu, kabla ya kuja ngoma(ngoma hakuwa pointed ni simba wali hijack ile deal baada ya kugundua yanga wanamsajiri)
Kanoute na mzamiru ni wavunja kuni, si wanyumbulifu wagumu, kidooogo siku hizi wakicheza na NGOMA wanakuwa afadhali,
Usajili wa che malone(big tick)

Kina kramo, Luis, onana,chilunda walikuwa wanahitajika hao? Je simba wana shida ya watu hao?takwimu za msimu uliopita zinaonesha simba ana shida na washambuliaji? Unaleta chilunda li boko bado lipo.
Tizama position za pale juu kina
 
Back
Top Bottom