HahaahaKibanda umiza siti ya mbele kabisa.....nmeacha wali jikoni, dakika chache tu yanga wakifanya jambo lao nakimbia home
Tulia mtoto mdogo wewe haujui kituMliwapa majibu feki
Sahau kwa hilo, mpaka sasa yanga kabanwa mbavu na maafande πyanga wakifanya jambo lao nakimbia home
Jkt siyo Kitayose mjue πMpira umeanza Kwa kasi Sana JKT Tanzania wanapiga tuntura hapa lakini Yanga wanaacha waendelee kukanyagana...
Wapo vizuri Wanakaba kama nyuki.Jkt siyo Kitayose mjue π
Tuache utani mwananchi kadandia mtumbwi wa vibwengo πWapo vizuri Wanakaba kama nyuki.