ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 129
- 202
Mwiko mbele au nyuma ?Nimechungulia babu kanambia kwenye hii mechi kuna jambo lisilo la kawaida linaenda tokea ila hajanambia ni jambo gani,
HaswaaHAWA VYURA WAKIPOTEZA ITAKUA HABARI NJEMA SANA
UsijifarijiWatabana lakini wataachia tu mbili zinawahusu
Sijifariji huu ni ukweli,Usijifariji
Gamondi kapoteana kabisa 😂Yanga leo wamekutana na kitu cha Moto leo
Afungwe na timu ipiYanga hajafungwa Bado?
Hii timu ya JKT wasije kufanya ujinga wa KMCGamondi kapoteana kabisa 😂
Ikiwa Ihefu walivunja mwiko Jkt hawawezi?Sijifariji huu ni ukweli,
Na ni mapema sana kusema huyu mchovu JKT eti naye aisumbue
Yanga