Ni ngumu sana 🤗Baadae ikishinda Makolo humu yatapoteana nao.
Aziz Ki ni ulimi njeNi kweli Yanga wamepoteana hapa
Kweli wananchi ,wamefurika kwa wingi mno.Inamaana mashabiki wa yanga huwajui ??
Mliambiwa mscreen shot msimamo mkawa mnacheka sasa tukikaa kileleni hatutokiYanga wapo 12 uwanjani
Kuna mchezaji wao mmoja kaingia na filimbi
Niliwaonya Goaaal Azizi KiKwenye redio.
Hapa niliwaonya Makolo.Faulo Yanga kapata eneo kama like Azizi Ki alilowafunga Madundukaz.