Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
JKT mfanye jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam naamHivi serikali bado haijatoa tamko mechi za Yanga bei vibanda umiza iwe kuanzia buku na kuendelea
Hapana atacheza next match hahahahaSawa mkuu uzalendo WA kweli ni kusapoti jeshi letu la JKT.
At least wasifungwe sanaa
Vipi Yule bishoo WA south skudu atacheza??
HahahahaGamondi muuaji Hastahili kuwepo aridhi ya Tanzania arudi kwao, alisikika mshabiki wa kibegi akisema
Kuna mahali bango linasoma afu3
Khaaa jambo gani sasa [emoji1] [emoji1787] [emoji23]JKT mfanye jambo
Nasikia linaangaliwa
Hilo jeshi Lina wachezaji wa kigeniKila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Lolote baya liwakute MWIKO NYUMA.Habari wanamichezo wa JF? Bila Shaka mpo poa mkiendelea na majukumu yenu ya kulijenga Taifa.
Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young Africans maarufu kama Yanga SC watakua wenyeji wa JKT Tanzania. Mchezo utakaanza mishale ya saa moja kamili kutoka viunga vya Chamazi complex stadium pale mbagala.
Hii itakua mechi ya pili Kwa Yanga ambayo mechi yake ya Kwanza ilimkandamiza bila huruma KMC FC Bao tano Kwa nunge. Pamoja na hayo lakini Yanga ilipiga pasi nyingi kiasi cha kufanya watazamaji wabaki Meno nje Kwa furaha ya soka Safi la pasi nyingi maarufu kama Pira Gamondi.
Kwa upande wa JKT Tanzania wao mechi ya Kwanza walipata ushindi muhimu mbele ya wauaji wa kusini Namungo FC Kwa kusinda Goli 1 bila. Bao lilipachikwa na kiungo wao fundi Martin Kigi na kujihakikishia pointi tatu muhimu.
Katika mechi tano za mwisho Kati Yao, Yanga kashinda mechi nne huku JKT Tanzania wakiambulia Sare moja Tu ya Bao moja Kwa moja. Mechi ya mwisho kukutana Yanga walishinda Bao mbili bila, Goli zikifungwa na mawinga Kisinda na na Yakuba songne. Je, Yanga wataendeleza utabe wao au JKT Tanzania watafuta uteja?
Kwa hayo na mengine mengi, Basi andaa macho na masikio leo saa 1:00 jioni katika dimba la Azam Complex Stadium Chamazi Moto Utawaka. Updates zote utazipata kupitia huu Uzi..
Kila la kheri Wananchi [emoji169][emoji172]
#Daimambelenyumamwiko
Leo mtapata aibu ya kufungia mwezi MWIKO NYUMAKila la kheri Timu ya Wananchi katika kumkanda Jkt Tanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Baada ya kipigo kule Mkwakwani Bantu lady alijiondoa jf 😂Anakuja na Bantu Lady
Kila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla hujaingia jeshini inakubidi uwe mwananchi
Kwa pamoja tunaitakia chama letu ushindi wa kishindo 💛💚💛💚