Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Tusubiri dakika tisini zikamilikeJidanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri dakika tisini zikamilikeJidanganye
Tusamehe bure maana hatukutegemea kukosekana. Basi walau aingie Sure Boy, atoke Aziz Ki au KonikoniPacome hayupo hata benchi, ni mashabiki Gani mnashindwa kufutilia hata vitu vidogo
Naona kama wanacheza total football ambayo sio yakushambulia.Hawa maafande Leo wamekuja kuzuia goli tu,na sio kufunga,wote wapo nyuma
Hata Sub hayupo leoPacome atasaidia kulainisha mashambulizi mbele kule.
Nipo pale, mwananchi hatoboi hapaTusubiri dakika tisini zikamilike
Usikimbie tu hii threadNipo pale, mwananchi hatoboi hapa
Hivi vitimu vidogo vikilegea huwa vinazibuliwa sanaNipo pale, mwananchi hatoboi hapa
Wakipigwa kimoja ndio Basi,wasahau kushindaNaona kama wanacheza total football ambayo sio yakushambulia.
habari njema hiziHawa maafande Leo wamekuja kuzuia goli tu,na sio kufunga,wote wapo nyuma
Inamaana mashabiki wa yanga huwajui ??Azam Complex watu wanaingia bure mbona wamejaa sana leo ?
Baadae ikishinda Makolo humu yatapoteana nao.Ni kweli Yanga wamepoteana hapa