Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli la Azizi unaombea MKOPO.
Khamsa kama kawaida ni swala la muda tu.
Tumewaona Mkuu. 😂😂Mmeona walivyo hawa wajinga JKT???
Jeshi linamkanda Mjeshi mwenzieJeshiiiiiiii
Utazidi kuumia mzee 😂😂😂, ni suala la muda tuu kabla bwana nzegeli kutikisa nyavuBasi Max Malipo anavyopenda sifa nae atafunga