FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Polisi Tanzania wanapata bao la kufutia machozi
 
Hiki hata akikikosa wala hana shida. Yani upate kiatu cha CAF alafu uwazie kiatu cha karume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuonaa anataka kufikiwa ndo mnaanza kuseka hivyo? Mbna mwanzoni mlikua mnatamba nachooo.
 
Daaah Saido afunge lingine latano tujue moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…