SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Kwani Mayele ndio alimuumiza?Kama Saido anamfikia Mayele, imagine Phiri asingeumia, si anngekuwa na magoli mara mbili ya Mayele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mayele ndio alimuumiza?Kama Saido anamfikia Mayele, imagine Phiri asingeumia, si anngekuwa na magoli mara mbili ya Mayele?
alikua ajaja mjini,kwanza hata ajui kama Yanga washapigwa khamsa na Simba mara nyingi ndo kwanza unamwambia.Wakati Simba inamtandika Yanga Goli 5 zilikuwa za nini?
mudi bahiili sana..safari hii akileta makachakacha tunamrudisha nayo gengeniHayo ni mawazo yako, unadhani hata angekuwa Bingwa wangeacha kusajili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuonaa anataka kufikiwa ndo mnaanza kuseka hivyo? Mbna mwanzoni mlikua mnatamba nachooo.Hiki hata akikikosa wala hana shida. Yani upate kiatu cha CAF alafu uwazie kiatu cha karume?
Inauma eeh??goli 5 zote izo za nini sasa
saido anang'ang'ania mia mbovu mwenzake tayari anahamsini mpyaBasi sawaaah.
Ushabiki msukule unapotezaga logic ya mtu kabisaMayele huko aliko kitu kinagonga ile mbaya, maana anaweza kuambulia patupu tena kama msimu uliopita
hazina manufaa yoyoteInauma eeh??
Tayari hukoDaaah Saido afunge lingine latano tujue moja