Na leo ni 6/6 afu ni birthday yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]Fun facts
Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26
Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6
Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66
Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6
Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6
Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Same happy b day mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Fun facts
Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26
Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6
Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66
Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6
Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6
Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Nguvu moja....Thanks for this kind of 💕
Ni kweli aisee mpo vizuri haina haja ya kusajiriNimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama mpishi wa assist, Saido angetoka na goli 8 watu wangesema Simba imenunua mechi.
Kwa hio asicheze kisa atamia?Uto tafadhalini msimchezeshe Mayele mechi na Prison. Watamvunja mguu akose fainali ya ASFC.
Shauri yenu
Ni nzuri sana watu wana maneno tuRekodi ya Simba msimu huu siyo mbaya kama mlivyoaminishwa.
Kwa hio avatar yangu inakuuma? Si na wewe uweke ya roboUlimbukeni wa kufika fainali ya losers tayari mshaanza kubadilisha avatar.
Siku ukifika hatua ya makundi Club Bingwa hali itakuwaje?
Kwenye ngao ya hisani mlivaa nini?Medali ni ile aliyopewa Bingwa, nyie mmepewa shanga tolea jipya
Zile za 1993 zilikua shanga pia si ndio?Medali ni ile aliyopewa Bingwa, nyie mmepewa shanga tolea jipya
A very happy birthday my dearFun facts
Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26
Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6
Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66
Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6
Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6
Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Happy birthday kwako nduguNa leo ni 6/6 afu ni birthday yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
get well soonMi sina ulimbukeni
swala ni mlivaa,hamkuvaa?We uliona watu wakijivunia kuvaa?
###🥦JACKPOT 777*®©€$¥¢™*###Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioniView attachment 2648025