FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Fun facts

Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26

Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6

Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66

Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6

Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6

Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Na leo ni 6/6 afu ni birthday yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Fun facts

Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26

Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6

Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66

Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6

Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6

Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Same happy b day mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.

Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.

Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.

Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.

Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.

Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama mpishi wa assist, Saido angetoka na goli 8 watu wangesema Simba imenunua mechi.
Ni kweli aisee mpo vizuri haina haja ya kusajiri
 
Fun facts

Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26

Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6

Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66

Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6

Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6

Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
A very happy birthday my dear

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom