FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Mtibwa wanamiliki mpira

Faulo
Mzamiru anacheza Faulo kwa Deogratius Kanda

Sakhooooooo

Goaaaaaaaaaal

Dakika 48'

Simba 2-0 Mtibwa

38' Mzamiru Yassin Said Selemba
48' Pape Othman Sakho
 
Unaona madhara ya bahasha?? Mchezaji aliyetakiwa kua nje Kwa red card ndio anafungwa goli la pili hapa.
[emoji881][emoji881] Nguvu moja
 
Back
Top Bottom