FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Simba imefanyiwa mafaulo mengi refa katulia tuuu
 
Kipindi cha Pili hawana pumzi ya kurudisha wakiwa pungufu na kuzuia wasiongezwe magoli.

Timu za Tanzania ukitowa red card tu umeshaimaliza mechi, ni timu chache sana wanaweza kuwa na spirit ya kucheza pungufu na kulazimisha safe au kushinda.

Hii mechi imeshaisha, Kwaherini.
Yule kitenge nilimuona tangu mwanzo, hakuwa na mchezo mzuri kwa wenzake

BTW tukienda katika rekodi, Simba ilishawahi kuifunga Yanga ikiwa pungufu
 
Nenda huko unaboaa yani unaboaaa. Ww ni litopolo kindakondaki sema hutaki kujulikana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mimi sio kama mashabiki wengi wa Simba na Yanga mlivo wanafiki kwny ukweli mnaleta mapenzi ya timu zenu badala ya kusema ukweli.
Simba nguvu moja
 
Hakutegemea kumkanyaga,ile imetokea Kama ajali ,Ni kosa ndio lakini la yellow card
chama alimkanyaga faisal, inonga kwa sure boy, achana na wawa kwa nchimbi ambazo ni makusudi hata yellow haikutolewa

ila hii faulo ya bahati mbaya unakimbilia red upuuzi mtupu
 
Kipindi cha Pili hawana pumzi ya kurudisha wakiwa pungufu na kuzuia wasiongezwe magoli.

Timu za Tanzania ukitowa red card tu umeshaimaliza mechi, ni timu chache sana wanaweza kuwa na spirit ya kucheza pungufu na kulazimisha sare au kushinda.

Hii mechi imeshaisha, Kwaherini.
Ni hakika pumba na mchele vinaendelea kuonekana.
Screenshot_20220923-091849.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matopolo yanatafuta kupata pa kupumulia kwa penalty yao ya mchongo. Goli limefungwa b4 red card mnakingine?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mimi sio kama mashabiki wengi wa Simba na Yanga mlivo wanafiki kwny ukweli mnaleta mapenzi ya timu zenu badala ya kusema ukweli.
Simba nguvu moja
Bwana ww ni Yangaaaa lialiaa hata bila kupepesa macho
 
Back
Top Bottom