Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa huangalii mpira,unasikiliza redioni......Red card kwa kosa gani?
Unatazama mpira? Umetazama faulo? Au ni mihemko tuMmeshaanza michongo yenu ya red card.
Bila timu kuwa pungufu hamuwezi kushinda.
Sio kweli, angemkanyaga mara moja sawa, lakin 2 times, inaonekana alikusudia kumtoa dogo uwanjani kwa jeraha!.Ilikua ajali tu,ata yeye hakutegemea
Mbona Sakho kapewa njano tu badala ya Red?Sasa marefa toka waone mwenzao jana kapondewaa leo hata vya halali hataki kutoa
Sema ulisahau ni kipindi Cha kwanza....Mpira umekwishaaàaaaaa.
Simba 1-Mtibwa 0
YapooMatopolo wa kubebwa mpooo
Hata kama ni ajali tayari ni rafu almbayo refa kaiona waziHakutegemea kumkanyaga,ile imetokea Kama ajali ,Ni kosa ndio lakini la yellow card
Hujajibu swaliUtakuwa huangalii mpira,unasikiliza redioni......
Si katika harakati za kujitoa pale,umeangalia vizuri,mwenyewe tu alipojitoa jinsi alivyomkanyaga ,hakufuraia tukio lileSio kweli, angemkanyaga mara moja sawa, lakin 2 times, inaonekana alikusudia kumtoa dogo uwanjani kwa jeraha!.
Red card kwa kosa gani?
Kipindi cha Pili hawana pumzi ya kurudisha wakiwa pungufu na kuzuia wasiongezwe magoli.Goli limeingia wakiwa 11 uwanjani
hakuna red pale mkuu, refa uwezo wake ni mdg na mechi imemshindaHujajibu swali