Unafurahia hii aibu?Makasiriko Co. Ltd.
Mitopolo haiamini Simba inavyotoa doses za uhakikaHabari mpya ni kwamba, kumbe Simba wametoa bahasha kwa wachezaji wa mtibwa ili wafanye faulo makusudi watolewe. Hii yote imefanyika ili kuwatuliza mashabiki wao baada ya kipigo cha Azam
Unataja ladha kwenye mpira? [emoji23]Daaah... Jamani tuone aibu hii.. ushindi wa namna hii hauna ladha kabisaa