FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Kila la Kheir Mtibwa Sukari
Lile lijamaa la Club Africain ambalo mechi 4 za mwiso lilikuwa linafunga mabao matatu matatu kila mecho, na lenyewe limekuja watu wameliona likishuka pale airport

Kumbe zile stori za kusema mwamba ana majeraha ni uwongo

Afu kikosi chote kiliondoka na basi kutoka airport mpaka hotelini ila yule mchizi naskia alisema nyie tangulieni mi napasha mdogo mdogo kama warm up
 
mtibwaofficial_1667143332226738.jpg
 
Dah yan Kyombo nalichukia lile jamaa lipo kama zombi uwanjani limepooza linakosa magoli kama bwege flani hv
 
Leo macho ni kwa Okrah na Sakho... kama wamejirekebisha na kuacha ubinafsi.
 
Kila la kheri wakata miwa,hawa mikia mkiwadhibiti kwenye ulozi hakika leo mtaondoka na ushindi mnono
 
Back
Top Bottom