FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Kila la heri tegemeo la tanzania nzima simba sports club 🦁 🦁
 
Chama anachonga Kona

Ilamfya
Mwihambi
Kanda

Simba wanazuia

Mapinduzi
Mapinduzi

Simba wanazuia
Kapombe

Goal kick
 
Chama
Mkude
Kapombe
Kibabage anamdhibiti kapombe

Mpira umetoka nje

Okra
Chama
Chama
 
Chama kafanyiwa faulo

Mpira umeanza

Chama
Chama

Okraaa

Wachezaji wa simba wanasema Vedastus Mwihambi kaunawa mpira pale
 
Kuna mtu kaunawa mpira ndani ya box

Ngoja tuone maamuzi ya refa
 
Goooooooooooo bahati mbaya Mpira umegonga mwamba ndugu wasikilizaji...
Ni hatari pale.....aisee dah
 
Mzamiru
Zimbwe
Chama
Chama
Mkude
Okra
Chama

Pascal Kitenge anatoa mpira ule

Manura
Inonga
Mzamiru
Mkude
Mzamiru
Chama
 
Farooq Shikaro anaanzisha mpira ule

Dakika 22'

Simba 0-0 Mtibwa
 
Inonga
Zimbwe
Chama
Okrah

Manura
Inonga
Kapombe
Kapoteza

Umerudi
Okra
Okra

Dakika 25'

Simba 0-0 Mtibwa

Yuko chini mchezaji wa Mtibwa pale
 
Mapinduzi Balama amewekwa chini na Mzamiru Yassin

Faulo

Inonga anaokoa

Faulo
 
Back
Top Bottom