FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Mtani Bill inamaana huu uzi hujauona hata. 🤣🤣
Siku hiyo nilikuwa biz mtani. Leo mchana nikawa free nikasema sipitwi na mechi ya mtani. Shida yenu mtani ni saikolojia linapokuja suala la kimataifa wachezaji wanapoteza ujasiri. Wanahitaji kujengwa kosaikolojia waone kama wanacheza na Ihefu
 
Kwa kweeli aisee Mtani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…