FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Kama marefa wenyewe ndio hawa bora Simba acheze mechi zake bila refa. Mpra utakuwa mzuri tu kuliko haya
 
Kipa namba 2 wa Mtibwa anapasha pale Juma Ahmad
 
Mtibwa wanabadirisha goal keeper

Ahmad Juma kaingia
Farooq Shikaro anatoka
 
Kazi nzuri..twende pamoja wengine hatuiangalii hii mechi updates tunazipata humu Ubemuoje
 
Mechi hii ni ngumu kweli kweli..maana hata hapa jukwani mwana JF mwenzangu ana maswali magumu magumu....ndugu wasikilizaji...
Anakwenda pale...lakini Moira unatoka nje unakuwa ni WA kurushwa kupelekea lango la...
Hamkamiwi ila simba Average players wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…