FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Simba

Okra anatoka
Peter Banda kaingia

Phiri anatoka
Kibu Denis kaingia
 
Hii mechi nimeona nisiendelee kuangalia maana ni kichefuchefu ushindi umekosa ladha kabisaaa.. Yaani refarii analazimisha timu Moja wachezw 8 uwanjani??? Bladfakeni refarii
Nani amekualika kuangalia kwani tumbafu
 
Banda

Chama
Kibu
Mkude
Kibu

Walinzi wa Mtibwa wanaondoa hatari ile
 
Kona kwa Simba kuelekea Mtibwa

Inonga
Kapombe
Chama
Chama
 
Simba

Zimbwe anatoka
Gadiel Michael Kamagi Mbaga anaingia
 
Back
Top Bottom