1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Masikini Fei....😔😔😔Azam kapigwa
Class!!!Wachezaji hawapangwi kwa majina mkuu, ni kutokana na Kocha anavyoona kwenye uwanja wa mazoezi.
🤣🤣🤣🤣 lol
Tayariiiiiiiiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji169][emoji172]
Zama DM mkuu unaweza pewa chochote kitu [emoji1787]
Lakini maslahi yake yaliyoboreshwa si yako pale pale?Masikini Fei....[emoji17][emoji17][emoji17]
subiri tukutane utajua azam walikuwa hawana namnaAzam ni wasengerema sana