permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mbona Azam wakicheza na Simba huwa hatuoni hii tunaita "small team mentality" ? Yanga waliikamata gemu haswa, umaliziaji ndio bado pana shida, labda huyu Hafidh tumuone ndio tupate picha halisi.Small team mentality unaiona kabisa makosa binafsi wanayofanya mabeki tofauti na Yanga,
Hiyo hali ndio iliyokua inavikuta vilabu vyetu tukicheza na kina Al ahly, Wydad, nk mnakua na kitete mnafanya makosa binafsi mara beki karudisha pasi kwa kipa inakua fupi mnafungwa.
Hicho ndicho walichokifanya Azam jana
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app