FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Safi sana mtani.. Yao Yao anajua ball.. Max ni fundi wa ball.. Nataraji tukutane fainal tukijaliwa
 
Picha la wiki
Screenshot_20230809-214738_WhatsAppBusiness.jpg
 
Sisi tunamuachie kocha afanye kaz yake sisi sio simba kumlilia kocha kwann hamapangi mtu fulani ss tushatoka huko
nmeuliza tu kwania njema
mana wana wanasema jamaa mkali sana, kwasisi tunaosubiria kumuona jangwani akifanya maajabu ndo tunashauku sana..
pia wengine wanasema ana zuio la kucheza sijui CAF
 
nmeuliza tu kwania njema
mana wana wanasema jamaa mkali sana, kwasisi tunaosubiria kumuona jangwani akifanya maajabu ndo tunashauku sana..
pia wengine wanasema ana zuio la kucheza sijui CAF

Naelewa na mm nashauku ya kumuona zouzou na hafiz konkon sijui kwann kocher anatusubirisha mpaka sasa wakati tuna hamu ya kumuona
 
Back
Top Bottom