kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Haiwezekani anayesimamia viwanda awe meneja kwenye timu na timu ikawa bora
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikiliza kivingeNyie AzamFc hebu wafungeni hao Utopwinyo 2-0 ili kuleta utulivu huko Tanga. Ni mimi Greatest Of All Time, Shabiki nguli wa AzamFc kwasasa nikiwa Niamey, Niger.
Bahati mbaya ni kua fainali hufikiSawa mkuu [emoji23] mie nitafurah Sana ukishinda ili tukutane fainal nikupige vizur ila nitafurahi zaid ukifungwa ili muanze kutukanana wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
heri konNaelewa na mm nashauku ya kumuona zouzou na hafiz konkon sijui kwann kocher anatusubirisha mpaka sasa wakati tuna hamu ya kumuona
Hamna Kocha Azam Kuna wahuni wanaokula pesa kiulani,timu inahitaji makombe huwezi kuleta kocha asiyekuwa na uzoefu wa kushiriki michuano mikubwa ya Afrika, japokuwa hizi timu za Kariakoo zinazingua Ila wapo vizuri kuleta makocha na wachezaji hawaokoti vichochoroni....Sasa Kocha wa Vijana atakusaidia Nini kwenye senior team?Kocha dabo dabo wa azam keshaona mwanzo wa mwisho wake. Akifikisha mechi tano za nbc bila kutupiwa virago , nitaukana uraia wangu wa pemba
Inatosha kusema kuwa Ukocha ni moja ya kazi ngumu saaaaanaHamna Kocha Azam Kuna wahuni wanaokula pesa kiulani,timu inahitaji makombe huwezi kuleta kocha asiyekuwa na uzoefu wa kushiriki michuano mikubwa ya Afrika...
Hahahaaa...Na Raha ya bao lichelewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashäpata singo maza 😂😂Natamani sana feitoto apate bao.
Muache aandike, lakini ngao ya jamii inarudi ilipo.Baada ya mechi ya leo naambiwa msimamizi wa kombe amekutwa akiandika jina la Simba kwenye hiyo ngao.
Vipi Robertinho naye? Asipofukuzwa utaukana hata uraia wa Mkanyageni pia? Elewa ukiondoka Mkanyageni utaishia kuwa MkanyagwaKocha dabo dabo wa azam keshaona mwanzo wa mwisho wake. Akifikisha mechi tano za nbc bila kutupiwa virago , nitaukana uraia wangu wa pemba
Huko Tunisia walienda kufanya nini?Ukocha Ni kazi ngumu.....lakini lazima utulize akili,hautakiwi uzidiwe maarifa mpaka ma mashabiki wanaona kabisa pale pametoboka wewe hauoni...
Hii Azam ikikutana na Simba mwamba Prince Dube lazima awakande dabo kama kawaida yakeIla Yanga wakicheza kama walivyocheza leo halafu wakakutana na Simba watakufa. Tushukuru Azam pumzi walikata
Azam FC sio wabovu kama una bisha jielegeze leo uje ucheze nao 3rd runner upAzam Wasiogope kuuza wachezaji na Kusajiri wengine Dirisha Bado liko wazi, Chukua Djuma Shabani, Chukua Banda, Chukua Morrison, Tafuta kipa mzurii, na wengine, Uza TakaTaka zote walizo nazo
Ni kama Hawajafanya usajiri wala hawajakaa Pre season, Yanga ilikuwa Mbovu lakini Azam Ilikuwa Mbovu zaidi.
Robertinho akicheza kesho hivii aishe huko huko Tanga
Mkuu Azam wanawachezaji wazuri tuu waliopo ukiacha yule kipa uchwara ambaya akirudishiwa mpira hata kutuliza hawezi( sijui kocha wa makipa Azam anafundisha nini) kinachoitesa Azam ni small team mentality hivo hawajitumi hakuna presha kutoka nje, labda wakianza kucheza kina Bangala itabadilika kidogoAzam Wasiogope kuuza wachezaji na Kusajiri wengine Dirisha Bado liko wazi, Chukua Djuma Shabani, Chukua Banda, Chukua Morrison, Tafuta kipa mzurii, na wengine, Uza TakaTaka zote walizo nazo
Ni kama Hawajafanya usajiri wala hawajakaa Pre season, Yanga ilikuwa Mbovu lakini Azam Ilikuwa Mbovu zaidi.
Robertinho akicheza kesho hivii aishe huko huko Tanga