FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Nawapa pole ya macho kwa kuangalia game bovu.

Nawakaribisha kwenye mechi ya kesho mje msuuze
Screenshot_20230809-211425_Gallery.jpg

.
 
Nyie AzamFc hebu wafungeni hao Utopwinyo 2-0 ili kuleta utulivu huko Tanga. Ni mimi Greatest Of All Time, Shabiki nguli wa AzamFc kwasasa nikiwa Niamey, Niger.
Ulikosea kidogo kwenye utabiri wako! Ukiyageuza hayo matokeo ndo kilichotokea leo. "KARMA" ime apply kwenye utabiri wako🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom