Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Mfano nani?Match haijapewa uzito stahiki.., kila mahali watu wamekomaa na mabango ya Yanga, nimeshajua nini kinadumaza mpira wa bongo. Ni simba na Yanga. Maana wanapika wachezaji wa kigeni wanaoenda kuzipaisha nchi zao, huku sisi tukidumaa
Hapa wapi? 😆🤪
Papa tu papa tu 🤪Tunaongoza sasa sema kwa papatu papatu
Mayele nani alikuwa anamjua, si kaibukia Yanga yule?Mfano nani?
Ndio katoa assist ya goal.Samata sijui anafanya nn uwanjani mpaka sasa
Kabisa.Papa tu papa tu 🤪
Haji Mnogaaaa?Ndio katoa assist ya goal.
Hata comment yako siyo ya kizalendo kabisa....ni comment ya hovyo na iliyojaa shutuma dhidi ya vijana wetu wanaolipambania taifa ukiwemo wewe ndani yake...huna haki kabisa kusema au kuandika kuwa eti vijana wetu hawaonyeshi uzalendo...Charles Mmombwa
Kwa kifupi Tunacheza hovyo sana.
Na mbaya zaidi wachezaji hawaonyeshi uzalendo kabisa.
Au wameshajua hatuwezi kabisa kabisa ku qualify?
Hawana uzalendoKuna kizazi fulani cha soka la Tz na kiona kinakuja vizuri.
Ug outHata comment yako siyo ya kizalendo kabisa....ni comment ya hovyo na iliyojaa shutuma dhidi ya vijana wetu wanaolipambania taifa ukiwemo wewe ndani yake...huna haki kabisa kusema au kuandika kuwa eti vijana wetu hawaonyeshi uzalendo...
🤣🤣🤣 nimeandika kulingana na ninachokiona.Hata comment yako siyo ya kizalendo kabisa....ni comment ya hovyo na iliyojaa shutuma dhidi ya vijana wetu wanaolipambania taifa ukiwemo wewe ndani yake...huna haki kabisa kusema au kuandika kuwa eti vijana wetu hawaonyeshi uzalendo...
Hadi wanakera aiseeWanakosa magoli ya wazi sana
SamattaHaji Mnogaaaa?
Kwenye kundi letu wangejituma kidogo tu,ukiachana na Morocco,wengine wote ni wa kawaida sana. Kwa sasa sisi tunaweza kuwa level moja na Zambia.Charles Mmombwa
Kwa kifupi Tunacheza hovyo sana.
Na mbaya zaidi wachezaji hawaonyeshi uzalendo kabisa.
Au wameshajua hatuwezi kabisa kabisa ku qualify?