FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

Wakuu hivi haiwezekani kuwe na timu ya taifa ambayo haitokani na wachezaji wa kwenye vilabu tofauti ili kuwe na mda wa kutosha wa kujiandaa,au club iitwe taifa stars inashiriki ligi pia ila wachezaji wa ndani tupu na gharama ya kuendesha itoke kwa TFF au wamtafute mdhamini, labda tutatoboa, kuliko kuleta sura jipya kila mechi
 
Wakuu hivi haiwezekani kuwe na timu ya taifa ambayo haitokani na wachezaji wa kwenye vilabu tofauti ili kuwe na mda wa kutosha wa kujiandaa,au club iitwe taifa stars inashiriki ligi pia ila wachezaji wa ndani tupu na gharama ya kuendesha itoke kwa TFF, labda tutatoboa
Haiwezekani
 
Vp huko wakuu, tufurahie ushindi au kuna dosari tuzitafakari?
 
Wakuu hivi haiwezekani kuwe na timu ya taifa ambayo haitokani na wachezaji wa kwenye vilabu tofauti ili kuwe na mda wa kutosha wa kujiandaa,au club iitwe taifa stars inashiriki ligi pia ila wachezaji wa ndani tupu na gharama ya kuendesha itoke kwa TFF, labda tutatoboa
Uliwahi kuiona wapi inshu kama hiyo??
Hakuna njia ya mkato kama tunataka timu ya maana tupromote wachezaji wetu wacheze ulaya kwenye zile ligi za ushindani...
Angalia timu za Magharibi wachezaji wao wapo huko Ufaransa wingereza NK
 
Screenshot_20231118_210209_LiveScore.jpg

Msimamo wa kundi letu uko hivi.
 
Uliwahi kuiona wapi inshu kama hiyo??
Hakuna njia ya mkato kama tunataka timu ya maana tupromote wachezaji wetu wacheze ulaya kwenye zile ligi za ushindani...
Angalia timu za Magharibi wachezaji wao wapo huko Ufaransa wingereza NK
Yeah, hata hapa kwenye vilabu vyetu vya simba na yanga na azam wachezaji wa ndani wawewanawika sio chama na aziz ki tu
 
Back
Top Bottom