FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023


Umeongea Fact tupu Mkuu
 
Hata comment yako siyo ya kizalendo kabisa....ni comment ya hovyo na iliyojaa shutuma dhidi ya vijana wetu wanaolipambania taifa ukiwemo wewe ndani yake...huna haki kabisa kusema au kuandika kuwa eti vijana wetu hawaonyeshi uzalendo...
Umenena,,
 
Ila sammata na mnoge kuna wakati wanatakiwa wafanyiwe cancelling wanapoitwa stars
Ni wachezaji wazuri ila kuna mahali wanakwama
 
Haha.

Bi mkubwa naona unachanganya madesa.

Unataka TFF igawanywe kila mkoa??

Nadhani ulitaka post ishu ya Tanesco.
 
Charles Mmombwa

Kwa kifupi Tunacheza hovyo sana.
Na mbaya zaidi wachezaji hawaonyeshi uzalendo kabisa.

Au wameshajua hatuwezi kabisa kabisa ku qualify?
Kumbuka uki qualify unaenda kukutana na Germany France England Brazil nk. Bora tu tutoke huku huku kwetu. Tutaaibisha taifa
 

Umekosea Njia
 
Kumbuka uki qualify unaenda kukutana na Germany France England Brazil nk. Bora tu tutoke huku huku kwetu. Tutaaibisha taifa
Hapana bora tufike we hutaki
kuona maguire akimshangaa kibu D uchezaji wake😁😁😁😁
 
Dah[emoji848]
 
SamattaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anakosa yeye na kipa
Dah yani morocco wameangalia wamecheka


Sema kocha wa sahivi nnachompendea anajua kushika bomba balaa litapangwa kosi ulinzi
Kosi 8:1:1
Kwamba Bonno hiyo siku anaenda na mkeka golini
 
Hili wazo niliwahi kulileta humu ndani.


Post # 27
 
Naona uzi umepoooa na hiyo yote ni kwa sababu taifa stars amecheza ila zingekuwa timu zenu za kariakoo huu uzi ungekuwa na wachangiaji 1000+

Anyway ila ni vyema mjifunze kuupenda mpira kwanza kabla ya kupenda timu zenu za kkoo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…