Hadi mtu anapiga shuti tafsiri yake ni kwamba defence imesharuhusu shambulioNaona Simba mnapiga minazi tu na hii yote sababu ni Ndala.
Sijakataa ila Simba huu sio mpira wake mimi naona minazi tuu hapa.Hadi mtu anapiga shuti tafsiri yake ni kwamba defence imesharuhusu shambulio
Hadi jana greda lilikuwa linapitishwa kwenye runway utadhani wameshtukizwa.Kulingana na Hali halisi ya utawala wa sisiemu uwanja uko vizuri
1 minute ago.....nimeandika hapabeki inaleta mzaha mzaha kukabia macho.