FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Ooooh Robertinho ni bonge la kocha, mara ni tactician balaa. Fukuzeni hilo garasa kabla ya timu kushuka daraja
 
Ahaaa kaka Kibu kawafunga Yanga halafu kaslide kama ulaya leo hafai, huyu Beleke si ndiye mnayesema kashinda goal 8 kwenye mechi tisa,kuweni wavumilivu bado dk zake.
Kibu anatakua ni toleo jipya la Said Sued Scud, ambaye aliifunga Simba tu ktika mechi alizochezea Yanga😃
 
Back
Top Bottom