Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
kocha hana shida kabisa tatizo simba hamna kikosi kuna mafinyofimoOoooh Robertinho ni bonge la kocha, mara ni tactician balaa. Fukuzeni hilo garasa kabla ya timu kushuka daraja
kwisha kaziKadi nyekundu kwa Kanoute
Mzee rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu. 🤣🤣🤣Huwezi kuamini hawa wachezaji walipumzishwa kwa ajili ya game hii
akili za ugoro zileKanote hua anakula bangi?
Ila refa kajitahidi kuwabeba hawa makoloMzee rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu. 🤣🤣🤣
[emoji44][emoji44]Simba wamepewa maelekezo na Azam wafungwe