John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
kmmk huko watapigwa kama ngomaCAF Super League
Kilo moja cupHivi baada ya hapa sisi Makolo tutegemee kunyakua kombe gani wadau? 🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi napenda mashabiki wa simba wateseke [emoji23]
hahahahahah tumemlaza hospitali ya Ligula mtwara hapaMleta uzi vipi mbona hutuambii matukio yanayoendelea uwanjani baada ya dkk 76?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara hii yamekua hayo ,mlivyokua mnajaza server ya jamii forums kwa kumfungulia nyuzi kua ni kocha boraNikweli kua hatuna kikosi kizuri sana msimu huu ila nime conclude leo hatuna kocha mbahatishaji tu huyu mzee.
Mleta uzi vipi mbona hutuambii matukio yanayoendelea uwanjani baada ya dkk 76?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andika bila kulia [emoji16][emoji38]Hatutaki kombe lolote sisi msitulazimishe