FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Tumestahili adhabu ya kufungwa, tuliwaogopa sana Azam tangu kule Ruangwa. Siamini kama ni tatizo la "ubora" wa wachezaji ila nidhamu ya kudeal na wachezaji.
 
kuna kitu hakiko sawa mudi usikute halipi wachezaji maana wahindi koko ni washenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…