FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
Hapana, uto wanachezaga kitaalam sana ndo maana Azam hujikuta wakiliwa ila Simba anapokutana na azam huwa kama inavyokuwa azam kwa yanga.
 
Ila twendeni mbele turudi mbele..hivi ni Simba ya kwanza kutoka bila kombe kwa timu za jangwani?? Yanga kwa miaka 4 imecheza upatu...kulia kupokezana
Bakini wenyewe muone kama patanoga humu...
Kwaherini
 
NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.
Simba akichukua ubingwa wa ligi kuu kwa namna yogote ile nitaamini 100% kuwa mpaji ni Mungu na si bidii ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…