ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wakili uchwara ScarsNguvu moja sasa tuzihamishie katika kuchambua mkataba wa feitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili uchwara ScarsNguvu moja sasa tuzihamishie katika kuchambua mkataba wa feitoto
Die manhoodMbona hakuna kiwakilishi cha uana ume
Wamenyeshewa na mvua. 😅😅makolo wamelowa wamelowa 😂
Ukiona hivyo ujue Huwa tunawakaza vizuriAzam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
Bukta lenu ni zito sana lina malaanaMungu ibariki SIMBA (The Gallants)
AahaaaaaaUzuri tumeshabeba makombe mawili ya kufa kiume cupView attachment 2613508View attachment 2613510
Mambo hayakwenda tulivyotarajia....anyway usajili na maandalizi hayakuwa mazuri.Sasa ile kauli ya unstopable kwa nini mmeiaibisha?
Sema "ngufu moya" kwa sauti bila kuliaUwiiiiiiii....
Tusubiri msimu ujao tu.......huu msimu tumeshamaliza huku vichwa tumeinamisha chiniUwiiiiiiii....
Kama wanaaga mwili wa marehemuWanapita kimya kimya. [emoji1787][emoji1787]
Hapa sawa kaka asante sanaDie manhood
Usisahau super League kwa wakubwa wenzenuTusubiri msimu ujao tu.......huu msimu tumeshamaliza huku vichwa tumeinamisha chini
Au sioSimba 1 Azam 0 dkk 90.
Jamaa wana mdomo sana wale 😂Wamenyeshewa na mvua. 😅😅
Swahiba taambia nini watu sisi. 🤣🤣
He died empty spaceNAOMBENI MNISAIDIE KIINGERZA CHA KUFA KIUME KUNA MZUNGU KANIULIZA SIMBA LEO VIPI NATAKA KUMJIBU KAFA KIUME KWA KIINGEREZA
Hapana, uto wanachezaga kitaalam sana ndo maana Azam hujikuta wakiliwa ila Simba anapokutana na azam huwa kama inavyokuwa azam kwa yanga.Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajuwa kujifariji sanaaIla twendeni mbele turudi mbele..hivi ni Simba ya kwanza kutoka bila kombe kwa timu za jangwani?? Yanga kwa miaka 4 imecheza upatu...kulia kupokezana
Bakini wenyewe muone kama patanoga humu...
Kwaherini
Simba akichukua ubingwa wa ligi kuu kwa namna yogote ile nitaamini 100% kuwa mpaji ni Mungu na si bidii ya mtu.NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.