FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Timu mbovu hao walioanza ndo wanauafadhali
Simba mwaka huu, ilikuwa mbovu' ikiwa na wachezaji zaidi ya asilimia 70, wasio na viwango na wakawaida sana..msimu ujao inabidi kusuka timu upya, Ili wasije Kaa miaka 5 pasipo kuwa timu yenye tija itakayoweza kurudi kwenye u ora na kunyakua ubingwa......Tusidanganyane timu ilikuwa kikosi chote cha Simba mwaka huu, kulikuwa kibovu na afadhali mwaka Jana...
 
NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.
Zimebakia pweint 3 tu ubingwa ukabiziwe sasa endelea kujifariji, hio unayosema inapotea ndio inakamilisha pweint 3 na hapo ndio ubingwa unachukuliwa nyie nendeni mkacheze Kombe la Mbuzi
 
Ila twendeni mbele turudi mbele..hivi ni Simba ya kwanza kutoka bila kombe kwa timu za jangwani?? Yanga kwa miaka 4 imecheza upatu...kulia kupokezana
Bakini wenyewe muone kama patanoga humu...
Kwaherini
Usifanye hivyo mtani, basi nakupa kombe la kufa kiume
AddText_05-07-05.55.40.jpg
 
Nilimuangalia CHAMA mechi 3 mfululizo ( derby, Wydad- dar + Morroco.
Ni kama amechoka kimwili. Nadhani alitumika mfululizo sana..
Mechi KUBWA kama ya leo alihitaji kuanzia benchi..( si kwamba ni mbaya , ila alihitaji kupumzika..
Nadhani kocha alihofia pressure ya washabiki ambavyo hali aliikuta... Ila nashangaa kutotumika kwa phiri..
Ila kwa yote simba ilitumia energy nyingi ....i kama SIMBA players wamekuwa demoralized na matokeo ya ACL....
 
Back
Top Bottom