FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Miongoni mwa ahadi alizotoa ni kuifunga Yanga na amefanikiwa, hongera sana kiongozi wetu wa timu kubwa ndugu Murtaza Mangungu.
 

Attachments

  • 1683475756112.jpg
    17.4 KB · Views: 1
Mpaka Sasa mwekezaji amesema ameshatumia bilioni 55 ukiacha zile bilioni 20 za uwekezaji.
Pesa zote izo timu inaishia robo ya Caf champion league na bado anatakiwa atie mzigo Ili timu iweze kuvuka robo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…