FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Mna uhakika huyu ni chama kweli .......
🤔
amekua kama John boko
 
Ally Salim asipobadilisha mtindo wake waudakaji atakuja kutukosti kwenye mechi muhimu (na hii ikiwemo)

We kila mpira unaopigwa unatema tu, tena bila kuangalia kuwa umekaribiwa na wapinzani lakini bado hurekebishiki tu.
 
Atakuja mara ngapi? Namungo, Wydad, Azam
 
Freekick eneo la hatari ngoja tuone Simba kama itaenda kunufaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…