Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi Chama amekuwa Kibu na Kibu amekuwa Chama
Eti marumo. Mikia mna matatizo ya wazi kabisa.
Huyu Chama anastahili benchi hata mechi ya Kwanza dhidi Wydad alipoteza nafasi nyingi.Hizi nafasi tutazikumbuka
Nguvu moja
BAHLABANE BA NTWA
Maajabu ya kupigwa na timu zote za CasablancaUto wanaomba isitokee wakutane na timu iliyofanya maajabu Casablanca
Hahaaa.. the wonderkidMatuta inabidi Onyango the The Wonder Kid atulie golini.
Atakuja mara ngapi? Namungo, Wydad, AzamAlly Salim asipobadilisha mtindo wake waudakaji atakuja kutukosti kwenye mechi muhimu (na hii ikiwemo)
We kila mpira unaopigwa unatema tu, tena bila kuangalia kuwa umekaribiwa na wapinzani lakini bado hurekebishiki tu.
Whydad mechi gani alipangua mpira ukarudi mpinzani akafunga?Atakuja mara ngapi? Namungo, Wydad, Azam