Kwa jinsi unavyoona kuna dalili za kushinda nikiwa na maana wachezaji wanacheza kwa kujituma au ndio tia maji tia maji kama game ya juzi?Gemu ipo live Azam Sports 3...
Dah basi nimeikosaGemu ipo live Azam Sports 3...
Leo wapo vizuri mkuu, sioni ule ujinga dhidi ya KMC.Mkuu timu leo inacheza kwa mipango au ndio kama KMC?
Sasa kama wamesinya deal la miaka 10 kuna nini cha kuwatia pressure?Azam wanakosa tu wapinzani ila hakuna kitu kabsaa
Basi hiyo tu kwangu inatosha, matokeo ni kitu kingine kinachokuja mwishoni ila nidhamu ya mchezo na kujituma ndio kitu nilichopenda kuanza kukionaLeo wapo vizuri mkuu, sioni ule ujinga dhidi ya KMC.
Ila naona Kama wanawacheleweshaLeo wapo vizuri mkuu, sioni ule ujinga dhidi ya KMC.
Deal la miaka 10 hadi CAF CL?Sasa kama wamesinya deal la miaka 10 kuna nini cha kuwatia pressure?
Hivi hamna Uzi wenu..acheni umalayaNyasa Big Bullets ushindi lazima