koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Sio mbayaHiki hapa Kikosi cha Simba SC chini ya Juma Mgunda Guardiola Mnene..!
Neno moja kwake.[emoji881]View attachment 2352642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbayaHiki hapa Kikosi cha Simba SC chini ya Juma Mgunda Guardiola Mnene..!
Neno moja kwake.[emoji881]View attachment 2352642
kama kuna wachezaji wa Simba watatoa Boko leo basi ni kati ya hawa wafuatao Muzamiru au Israel Mwenda.Huyu Israel aache zile pasi zake za kurudisha mpira nyuma..
Wanazingua sana, hana confidenceIsrael!......njia hii. Toka mechi ya mwisho Sudan alikimbizwa na yule Mkongo sikuwa na imani nae.
Hakuna beki wengine? Matola anamuamini nini huyu dogo? Ndio maana wengine wanasuspect kuwa anachukua 10%
Wewe unapendekeza acheze nani hapo?Israel!......njia hii. Toka mechi ya mwisho Sudan alikimbizwa na yule Mkongo sikuwa na imani nae.
Hakuna beki wengine? Matola anamuamini nini huyu dogo? Ndio maana wengine wanasuspect kuwa anachukua 10%
Hope leo atakazakama kuna wachezaji wa Simba watatoa Boko leo basi ni kati ya hawa wafuatao Muzamiru au Israel Mwenda.
Snitch huyo..IDs zake zote kutwa ni kuinanga Simba,anajifanya anaijua sn Simba ila ni mpuuzi tuMbona hujamuita GENTAMYCINE
"Na nyinyi mchangamke muwaige wenzenu Simba ,siyo muda wote mmepoa,Yani wa baridiiiiiii" jakaya kiwete,siku ya yanga day 2020Thread ya Topolo imeishia reply 5 huku ina reply 25