FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Israel!......njia hii. Toka mechi ya mwisho Sudan alikimbizwa na yule Mkongo sikuwa na imani nae.

Hakuna beki wengine? Matola anamuamini nini huyu dogo? Ndio maana wengine wanasuspect kuwa anachukua 10%
 
Wanazingua sana, hana confidence
 
Kila la kheri chama langu SSC , nguvu moja [emoji123][emoji123][emoji123][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna ile link jina lake nimeosahau mwenye kuikumbuka aitupie basi
 
Back
Top Bottom