Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzamiru kwa ajili ya kukabaIvi mwenda na mzamiru wanawapa nn makocha,uyu dogo mie simpendi kinoma
Kapama anakanyaga beki mbili vizuri tu,hata Nyoni akiwa Azam alikua anacheza half back 2.mzee Onyango akiwa Arambee star ana wekwa mbavu ya kulia na anakiwasha mpaka nyasi zinang'oka.Israel!......njia hii. Toka mechi ya mwisho Sudan alikimbizwa na yule Mkongo sikuwa na imani nae.
Hakuna beki wengine? Matola anamuamini nini huyu dogo? Ndio maana wengine wanasuspect kuwa anachukua 10%
Nyasa Big Bullets ushindi lazimaMchezo umeanza
Timu zimeshaingia uwanjani kuelekea kuanza kwa mchezo huu
Kikosi cha Nyasa Big Bullets
Kikosi cha Simba kuelekea mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets, leo Jumamosi Septemba 10, 2022, unatarajiwa kuanza saa 10:00 Jioni kwa Tanzania.
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wapo ugenini wakitarajia kushuka katika Dimba la Bingu National Stadium nchini Malawi kukinukisha dhidi ya wenyeji Nyasa Big Bullets katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo unategemewa kuwa wa ushindani ndani ya dimba ambapo Nyasa Big Bullets ni timu ambayo ina wachezaji wenye uwezo kuuchezea mpira miguuni hivyo si timu rahisi, hivyo unatakiwa uwe umejiandaa vilivyo kuchuana nao.
Hivyo basi tunatarajia kuona burudani ya kukonga nyoyo, ambapo Simba SC wakiwa na wachezaji wao mahiri wenye vipaji na experience kubwa kwenye michuano mbalimbali ya CAF watakavyoingia na mbinu ngumu ya kuhakikisha wenyeji wanakuwa na wakati mgumu muda wote wa mchezo.
Kwa yote haya ni ndani ya kuamua...Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 Alasiri..Usikose Ukapata Simulizi..Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Karibu Jopo Zima la Lunyasi Mwifwa, OKW BOBAN SUNZU, Scars, Kinyungu, denooJ, Kalpana, Shunie, Mshana Jr, BRN, Mawawa, mpiga vichwa, koboG, Waminyato, Pettymagambo, SAGAI GALGANO, Troisième Ceil, 3ZOV, Proved, mkwepu jr, Satoh Hirosh, Elli, MTAZAMO, Designer_3434, TUJITEGEMEE, Mac Alpho, Kiweriweri, Donnie Charlie, CHIEF PRIEST, rodrick alexander, Chaliifrancisco, Mtoto halali na hela. Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
===========
Vikosi vyote vya Nyasa Big Bullets na Simba SC vimefika katika Dimba la Bingu National Stadium [emoji2522] tayari kwa mchezo.
AmeenKila la kheri wekundu wa msimbazi simba
Nguvu moja.
Hii mentality ya kuingia uwanjani tukiamini tayari tumeimaliza mechi ndo ambayo huwa inatucost sana, nikikumbuka ya UD SONG, JWANENG na KMC juzi nabaki kusikitika tu.Big Bullet kule tukimpiga kama goli mbili hivi au zaidi hapo sasa huku Lupaso Ntwala tunamalizia tu kwa vinywaji laini kama juis,maji baridi na Al qasus mujarabu.
Si bora hicho cha mgosi kuliko cha professa, au wewe unaonaje?Mgosi mwenzangu Juma Mgunda, wakati mwingine ukihojiwa na mwandishi wa habari jieleze tu kwa kiswahili. Hicho kizungu waachie wenyewe.
Ni ushauri tu lakini.
Bado wanajitafuta, hayo mambo huwezi kuyakuta kwa DStv.AzamTv wameamua kurekodi mechi ya Simba kww kutumia Infinix
Zalan ushindi lazimaNyasa Big Bullets ushindi lazima
Mkuu timu leo inacheza kwa mipango au ndio kama KMC?Bado wanajitafuta, hayo mambo huwezi kuyakuta kwa DStv.
Wameniboa sana nmetoka bar flani hapa jirani ila game ya Simba imekuwa shida kuiona live. Nimerudi zangu home tuuBado wanajitafuta, hayo mambo huwezi kuyakuta kwa DStv.
Game ya Simba haijarushwa live?Wameniboa sana nmetoka bar flani hapa jirani ila game ya Simba imekuwa shida kuiona live. Nimerudi zangu home tuu
Gemu ipo live Azam Sports 3...Game ya Simba haijarushwa live?