Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Aaah huyu mjinga amenikata stimu sana kwa sub zake hiziSimba tumezidiwa baada ya matola kuingiza washkaji zake ambao wanampa 10%, nyoni ni wa kucheza namba nane kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah huyu mjinga amenikata stimu sana kwa sub zake hiziSimba tumezidiwa baada ya matola kuingiza washkaji zake ambao wanampa 10%, nyoni ni wa kucheza namba nane kweli?
ametoka nan ameingia nani?Aaah huyu mjinga amenikata stimu sana kwa sub zake hizi
Lijamaa sijui likoje lile, juzi hapo ametoka kuzomewa badala atulie airejeshe imani kwa mashabiki lakini bado anakuja kufanya ufuskaFukuzeni matola tumechoka
kifuatacho hapo ni goliDk ya 79 hapa Nyasa BB wanafanya shambulizi kwa kupiga krosi kali ambayo goal keeper Manula anaicheza
Aisee!!
Simba huwa wanajifanya hawastuki kufungwa. Hii timu wakati mwingine wanatukera sana mashabiki wake.
Mbeba hirizi za timu lazima awepoKmmk matola tukifungwa lawama zote kwake....hivi hivi viande bocco,nyoni na mzamiru vinafanya nn uwanjani wakati tuna okwa,okrah na dejan benchi?
Kama uongozi wataendelea kumkingia kifua tutaendelea na zomea zomea hatutaki kuchezewa shenzi zanguLijamaa sijui likoje lile, juzi hapo ametoka kuzomewa badala atulie airejeshe imani kwa mashabiki lakini bado anakuja kufanya ufuska
Kufungwa ni matokeo ya kuwa na upangaji mbovu wa timu. Mpira kwani umeisha??Ngapi ngapi kwani? maana kwenye title bado ni 0 - 1