Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 354
- 472
Angemuacha pale angekosa mkuu, we ni nabii😀😀😀Huyu Mchezaji wa Pamba FC kauza mechi amefanya vile maksudi ili awape penati Makolo FC huyu ni wa kufukuza kwenye timu.Ile sio bahati mbaya ni maksudi kabisa
Kwanini mkuuYani hii mechi bora tu iishe
Mechi ya leo sijaona mchezaji yeyote aliyecheza vizuriHuyu Chasambi mim kwa upande wangu naonaga hakuna mchezaji hapa
Mechi ngumu na uwanja mbovuKwanini mkuu
Aisee kweli kabsaMechi ya leo sijaona mchezaji yeyote aliyecheza vizuri
Leo ndio nataka nione wale wazee wa kuchagua man of the match watatumia kigezo gani
Hili goli lililokataliwa lina walakini