FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Ameanzisha Uzi Kama anakimbizwa sijui aliniogopa???ila kwa vile Uzi unaihusu
yanga sio mbaya all in all Yanga bingwa

Sasa akuogope Nini? Kaanzisha uzi anatoa na updates fresh kabisa,
Kwanza umepangiliwa uzi haujakaa kishabiki
 
Mbona wenye uzi mmepoa sana? Hamfurahi mnapokutana na pacha wenu?
 
Leo tutaporomosha mvua ya magoli mpaka Makolo hawatosogelea huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…